N Ngaranalo JF-Expert Member Joined Sep 7, 2017 Posts 336 Reaction score 195 May 11, 2018 #81 Chiwaso said: Uzuri hiyo itakuwa 2020. Polisi watakuwa wametawanyika, na wananchi watakuwa wengi kulikompolisi kwenye majimbo husika ya uchaguzi. utasikilizia mziki wake. Click to expand... Jimbo lolote lile nchi hii ccm ikilitaka inachukuwa hata kama polisi wametawanyika muulize Wenje na kafulila watakwambia
Chiwaso said: Uzuri hiyo itakuwa 2020. Polisi watakuwa wametawanyika, na wananchi watakuwa wengi kulikompolisi kwenye majimbo husika ya uchaguzi. utasikilizia mziki wake. Click to expand... Jimbo lolote lile nchi hii ccm ikilitaka inachukuwa hata kama polisi wametawanyika muulize Wenje na kafulila watakwambia