johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Watu wengi wanaamini Wenyeji wa Mbeya Mjini ni Wanyakyusa na Wasafwa kwao ni Mbeya Vijijini
Lakini ukweli ni Kuwa Mbeya Mjini na Vijijini kote ni Kwa Wasafwa ila inasemekana Wasafwa ni Watu wataratibu sana wasiopenda kabisa mambo ya siasa
Wao wamejikita zaidi kwenye mambo ya Dini hasa Misikiti na Makanisa
Ninachojiuliza kwanini Wasafwa hawapendi kabisa SIASA ilhali pacha wao Wakinga ni Wapenzi wakubwa wa siasa?
Ni hilo tu🐼