A
ILA Binadamu Hamna jemaMbeya Mjini wanafunzi wa Sekondari wanasoma mpaka saa nne usiku, fikiria mtoto anatoka nyumbani Saa 12 Asubuhi anarudi Saa 4 Usiku, ni masomo gani hayo, na vipi kuhusu usalama wa watoto?
Jambo la ajabu wazazi wamekaa kimya tu kuhusu suala hili, sidhani kama hili lipo kiserikali au ni walimu wameamua wenyewe kwa ajili ya kujipatia kipato nje ya mishahara yao. Mamlaka zilifanyie kazi haraka sana. π
Shule zote za Kata Mbeya Mjini kuanzia form 1 had form 4, Walimu hawajawaambia wazazi kuhusu hili, bali wameamua wenyewe.
Nimefanya tafiti nimejiridhisha mfano Shule ya Sekondari Sinde, Shule ya Secondari Mbeya Day, Shule ya Secondari Wigamba, ni baadhi ya shule tu nimeshuhudia.
Ni noma.Mbeya Mjini wanafunzi wa Sekondari wanasoma mpaka saa nne usiku, fikiria mtoto anatoka nyumbani Saa 12 Asubuhi anarudi Saa 4 Usiku, ni masomo gani hayo, na vipi kuhusu usalama wa watoto?
Jambo la ajabu wazazi wamekaa kimya tu kuhusu suala hili, sidhani kama hili lipo kiserikali au ni walimu wameamua wenyewe kwa ajili ya kujipatia kipato nje ya mishahara yao. Mamlaka zilifanyie kazi haraka sana. π
Shule zote za Kata Mbeya Mjini kuanzia form 1 had form 4, Walimu hawajawaambia wazazi kuhusu hili, bali wameamua wenyewe.
Nimefanya tafiti nimejiridhisha mfano Shule ya Sekondari Sinde, Shule ya Secondari Mbeya Day, Shule ya Secondari Wigamba, ni baadhi ya shule tu nimeshuhudia.
Hata walimu wao walifaulu kwa njia hizohizo mwalimu wa biology ukimwangalia familia yake na watoto wake haviendani, hajui ale nini na watoto wake wale nini, na hii sio kwamba hana hela ni hajui kichwani hamna kitu.Wanataka ufaulu wa juu kwa kukariri
Mda wote wanakariri tu ila kichwani hakuna kitu
Ndio wanaokuja kuwa viongozi wetu hao