Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 862
- 1,755
Mlima Kawetere uliopo kata ya Itezi jijini Mbeya , uliomeguka April 14 ,2024 na kusababisha maafa ambapo nyumba zaidi ya ishirini ,shule , mifugo na mashamba yalifukiwa na tope, umebainika kuwa mlima huo bado ni hatari, kutokana na shughuli za kibinadamu zinazoendelea katika mlima huo, hali ambayo itapelekea kumeguka tena.
April 14, mwaka huu ni siku ambayo wakazi wa kata ya Itezi hawataisahau, ambapo serikali imeamua kuadhimisha miaka 63 ya uhuru, kwa kupanda miti katika mlima huo.
April 14, mwaka huu ni siku ambayo wakazi wa kata ya Itezi hawataisahau, ambapo serikali imeamua kuadhimisha miaka 63 ya uhuru, kwa kupanda miti katika mlima huo.