Mbeya: Mtoto wa miaka 8 achomwa moto na jirani kisa kupoteza sh 200

Mkalukungone mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
862
Reaction score
1,755
Hii taarifa imeniumiza sana jamani kwa ukatili huu ambao baadhi ya watu wanaendelea kuufanya kwa watoto.

Yani kisa 200 unathibutu kumchoma moto mtoto. Au wanabifu na mama wa mtoto huyo?
==================
Mtoto Abinala Hebron Mwambigija(8), Mwanafunzi wa darasa la pili Shule ya Msingi Iwambi Jijini Mbeya amenusurika kifo baada ya kuchomwa moto kwa mafuta ya petroli kisha kuvishwa gurudumu la gari na Jirani yao kwa tuhumza za kupoteza Tsh. 200 na kurudisha pesa pungufu alipomtuma dukani.

Akiongea na Waandishi wa Habari, Abinala amesema alitumwa dukani na Jirani yao aitwae Uswege wanayeishi eneo moja la Iwambi ambapo alitumwa kwenda kununua sukari na maandazi lakini alipoteza shilingi mia mbili ndipo akaanza kumuadhibu.

Soma Pia: Arusha: Polisi yamshikilia Jaina Mchomvu kwa tuhuma za kumuua Mtoto wa Miaka 12 kisha kuficha mwili wake uvunguni

Mama mzazi wa Mtoto huyo aitwae Marita Abiud amesema alipata taarifa ya Mwanae kuchomwa moto ndipo alipoanza kufuatilia huku Hebron Uswege Mwambigija ambaye ni Baba Mzazi wa Mtoto akiiomba Serikali kuchukua hatua za kisheria dhidi ya Muhusika.

Amos Bohela Daktari Bingwa wa upasuaji Hospitali Teule ya Ifisi amesema walimpokea Mtoto October 6,2024 majira ya jioni baada ya taratibu za kitabibu wamebaini kujeruhiwa maeneo mbalimbali ya mwili wake lakini kwa sasa anaendelea vizuri kiafya.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya Benjamin Kuzaga amesema analifuatila tukio hilo na kwamba atalitolea taarifa hapo baadae.

Snapinsta.app_465884912_18469673680057742_8760265223222692524_n_1080.jpg
 
Polisi wanamtolea taarifa nani na iweje! Wao wanatakiwa kumkamata muhusika ili akaieleze mahakama sababu za kutenda aliyoyatenda.
 
Huu ni uujiii tsh 200 kweli ya kusababisha kumchoma moto kweliii.....
 
Back
Top Bottom