LGE2024 Mbeya: Mwenyekiti wa Kanda ya Nyasa, Joseph Mbilinyi ajitokeza kujiandikisha kwa ajili ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Siku zote tumesema humu na kwingineko kwamba, Uongozi ni Kuongoza Njia, hii ina maana kwamba unapokuwa kiongozi unapaswa kuwaongoza waliokupa dhamana hiyo.



Tofauti na Viongozi wengi waliojitokeza kujiandikisha huko Dodoma Bwana Sugu yeye aliambatana na Mke wake



Katika Hotuba fupi aliyoitoa baada ya zoezi hilo kukamilika, Mwenyekiti huyo wa Kanda amewataka wakazi wote wa Mbeya na Wananchi wote kujitokeza kwa wingi kujiandikisha, kwa vile hiyo ndio njia pekee ya kumshinda Shetani.
 
Mnyika alisema uhamasishaji ni hafifu!!
kumbe ni uongo mtupu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…