Mbeya na Rukwa: Natafuta wanunuzi wa alizeti

Mbeya na Rukwa: Natafuta wanunuzi wa alizeti

Jerusalem24

Member
Joined
Jun 30, 2020
Posts
7
Reaction score
3
Ninauza alizeti zipo mkoa wa mbeya mjini na Rukwa bondeni. Mawasiliano ni 0769902875

Karibuni sana, bei ni maelewano.

Nb: Alizeti ni ya mwaka huu imetoka shambani.
 
Bei maelewano kulingana na market price pamoja na kulingana na aina ya mbegu iliyopo........karibu mawasiliano hayo hapo
 
Ninauza alizeti zipo mkoa wa mbeya mjini na Rukwa bondeni. Mawasiliano ni 0769902875

Karibuni sana, bei ni maelewano.

Nb: Alizeti ni ya mwaka huu imetoka shambani.
Mwenye alizeti anicheki 0625654909 mkoa wowote nafika
 
Back
Top Bottom