Mc Tilly Chizenga
JF-Expert Member
- Feb 7, 2012
- 4,641
- 3,680
Kazi kwelikweli kwahiyo unataka mtu aje hapo akupeleke kwenye kitimoto? Si uwaulize hao wahudumu wa guest wakupe direction
Angalia usipigwe Nondo.. Maana nasikia huko balaa.
Basi ungenyuti tu siku ukiwa haupo na baba mkwe utoke ukiwa free. Mambo ya kuweka masharti kama unatuma maombi ya kazi hayana maana.
Mi nipo Mbeya ila ni sela sana kwa hiyo naogopa kukubore.
fanya hivi sasa, nenda bar yeyote hapo them toa mchongo raia watakuja tu......lakini kukaa na washua mwanangu u must be very decent alaf kwa ujana sio ishu while unatakiwa ujiachie
...nilisikia kitimoto wa huko wanapewa ARV!
sio mbaya mkuu kupata kinga in advance!lol!
Vaa Helmet kisha njoo Sae Club Opp.na Mbeya Golden City.
Mbona hunajitangaza upo wapi, ambaye angekupigia si ungemwambia simuni. Au haugopi kuibiwa as weye mgeni?
kitimoto choma ina minyoo aina Taenia saginata ambayo ni vigumu sana kuitibu,huogopi?