king of cool
Senior Member
- Jan 12, 2020
- 172
- 167
Nyota ndogo uyoHakika kuna watu na viatu duniani.
Wimbo wa zamani huo
Ndiyo tabia ya watu wa huko.Hasa hasa ilikuwa ni salamu nilikuwa kama kupiga stori mmekutana tu nje ile asubuhi ila ule ukaribu wa kukaribishana ndani sikuwa nayo kabisa na hata nikikaribishwa nilikuwa naenda kama kuzuga tuu. Actually walionekana ni watu wanapenda kuzungumzia maisha ya watu wengine sana.
Duuh aisee. Kwanini katangaza ilikuwaje?Nyota ndogo uyo
Sipendi kujueleza sana ila ninayoyapitia mimi kwa sasa ivi mtaa nimetangaziwa kila kona na mshikaji nilomsaidia kuanzia makazi malazi chakula mpaka kazi anayoifanya mpaka sasa
Hutaamini kwamba ndo kasambaza maneno ya uongo kwa watu boy robby ni gay
Hatari sana, alaf sijui huwa wakoje anataka ukimsaidia ndo muwe kama ndugu.. Na akiona unapiga hatua tu tayari topic ya mtaa... Alaf walivyo wapole kwa nje huwezi dhania kabisa..Ndiyo tabia ya watu wa huko.
Nlikuwa na rafiki ananiambia Abby nimekulia Dar ila huku kwetu mbeya ukija jiandae kusengenywa na hata mtu asiekujua.yani ukipita tu wanaanza kukufanya mada.wanasengenya na kufatilia Maisha ya watu mno
Wakaanza na kuvuruga ma file kichwani😜😅Wao ndo walikuwa wanahisi hivyoo
Haukua ndotoni?Hatari sana.... Kuna mtaa tulikuwa tunaishi yani ni balaa tupu, mara wafukie lipaka nyuma ya nyumba, mara msikie sauti za kukoroma dirishani usiku, kubwa kuliko kuna siku nimelala nikaja kushituka usiku... Kumuita mother sauti haitoki wameshanikata ulimi duh¡ wachawi sio watu wazuri....
Ukikataa watasema unajisikiaHatari sana, alaf sijui huwa wakoje anataka ukimsaidia ndo muwe kama ndugu.. Na akiona unapiga hatua tu tayari topic ya mtaa... Alaf walivyo wapole kwa nje huwezi dhania kabisa..
Huwa na kuwa mbinafsi sana kwenye zone yangu.... Siwezi achia mtu aingie tu alete negative energy.. Kuna kitu maishani kilinifunza kupitia kuacha watu wakuzoee.Ukikataa watasema unajisikia
Shirikiana na watu ila mazoea yalopitiliza please acha.wengine ni matatizo
Imagine mtu anataka uhuru wa kuingia kwako bila hodi Tena muda wowote anajiskia,aingie achukue chochote bila hata kukuomba,haya wanayopenda Sasa😄
Live mkuu... hapo ni na miaka 8.... maana niliogopaga hata kukojoa mpaka nimuite mother kuna siku nilishituka nikaona mmama mwingine amesimama kitandani... nikimcheki mother amesinzia duh¡ halafu wote wanafanana nguo kumuamusha.... akanikalipia .... hebu lala......... kuna siku akaamuka amenyolewa...... na tuchawi.Haukua ndotoni?
Alafu na mimi kuna muda nilikuwa hata silali unakuwa unahisi kama mlango I kuna watu wana kuongelea huku wa nacheka kwa nguvu.... Hapo ni usiku wa manane
Mafanikio na attention kwa watuDuuh aisee. Kwanini katangaza ilikuwaje?
Hebu Wacha bwana wa kike au wa kiume wewe?Live mkuu... hapo ni na miaka 8.... maana niliogopaga hata kukojoa mpaka nimuite mother kuna siku nilishituka nikaona mmama mwingine amesimama kitandani... nikimcheki mother amesinzia duh¡ halafu wote wanafanana nguo kumuamusha.... akanikalipia .... hebu lala......... kuna siku akaamuka amenyolewa...... na tuchawi.
Wewe wasema... hayaja kukuta tu mkuu...Hebu Wacha bwana wa kike au wa kiume wewe?
Na hapo utotoni huwa sio serious sana. Si unakuwa bado hujapevuka
Duuh aiseeUshindani wa
Mafanikio na attention kwa watu
miaka ya nyuma kidogo nilikua naishi kwa fact nafanya kitu kwa ajili yangu then nakua kama nawa motivate maisha yalikua poa tu
2023 April nikaoa but ndoa haikudumu kwa mda mi na mwenzangu hatukua Sawa
2023 August nikajikuta kwenye depression pesa ilikua tatizo kubwa kwangu nilikua na mtaji kiasi flani ivi kama 1.3m watu nilokua nafanya nao kazi walikimbia na pesa yangu yote so ndani ya week moja mamtu kasepa pesa walundi wamepita nazo ilinichukua mda kuiona kama hali ya kawaida kwa kipindi chote icho jamaa alikua anasonga talatibu na maisha yake sikumfatilia wala kua na ukalibu nae ishu imeanza mwaka Jana baada ya mimi kua Sawa na ile kuanza kua tena mtaani kama kawaida nakutana na izo story sionekani napata wp pesa ya kula na kuendeaha maisha sikuwai kumjibu mtu wapi napata pesa sababu ni ile ishu ya kupigwa pesa mingi kwa upande wangu so nilihakikisha hakuna anayeweza kutabili naingiza kiasi gani na kwa njia gani lakini kadili ninavyofanya biashara kwa siri ndivo pesa inazidi ku nying na hakuna mtu anayeona pesa inapitaje kwangu
So jamaa alitumia iyo nafasi kupata attention kwa watu jamaa kaongea sana mengine mazito Fam iyo kwamba homie ni gay ni ya kawaida mpaka navoandika asubui hii kuna wateja wamenikimbia kwa sababu ya hizo taalifa za ushoga kinachonikela ni ile hali ya watu wa kalibu kuamini na anaewaaminisha na familia niliyoilea mwenyewe f@ck that shit kuna tyime nilitamani kumfuta duniani ila mi msabato nimebatizwa kwa maji mengi wakuu watu ******* qmamaqe sijapanga kujitetea nasubili dunia itaamuaje
Wanabahati sana sema nilikuwa bado... sijamjua YESU ningewanyoosha ile mbaya...Ungekuwa mkubwa sawa.
Hapo stori za watoto hizo, hata mm nilikuwa mwoga kwa miaka hiyo
Ni shida sana.watu tumetofautiana mitazamo mwisho tunashindwa kuelewana.Huwa na kuwa mbinafsi sana kwenye zone yangu.... Siwezi achia mtu aingie tu alete negative energy.. Kuna kitu maishani kilinifunza kupitia kuacha watu wakuzoee.
Sasa watu huwa wanaona kutaka privacy ni kujiona. Hapana, ni mtu tu anapenda kuishi hivyo. Kuhusu kishirikina na watu ni sahihi kabisa.
Kuna kitu sisi waafrika hatujafunzwaNi shida sana.watu tumetofautiana mitazamo mwisho tunashindwa kuelewana.
Ni kweli tunahitajiana,tutashirikiana lakini tuheshimu mipaka na misimamo ya mwingine.
Na wewe... unataka kuwa Thomas...?Kwa sasa hawaji?
Mkuu ulikuwa bado kinda haikuwa real