Mbeya: Nilikumbana na Mauza Uza ya Wachawi

Mimi sijui kujieleza nikaeleweka ila wewe umenizidi.
 
Wewe ndio tatizo mkuu jamii zetu za kiafrika sio kama za mambele kule kimamutoni unatakiwa uwe mcheshi mkuu
 
Wewe ndio tatizo mkuu jamii zetu za kiafrika sio kama za mambele kule kimamutoni unatakiwa uwe mcheshi mkuu
Mimi ni mcheshi sana in the right group...
Sema ni maisha ndo yalinishape kuwa mtu wa kuishi hivyo. Yaani ni mpaka niwe a mtu nae jua hana traits za wivu na tunaendana
 
Acha tu
Ila ni kweli Kuna feeling Fulani ya upweke usipoishinda unaangukia Kwingine.tunatumia Kila namna
Ndio matokeo huyu anachagua watu
Huyu mitandao
Huyu vilevi
Mradi tu
upweke ni hatari umeniletea shida sana ya ulevi wa kupitiliza na kupoteza pesa kibao ila nipo kwenye mapambano naamini ntakuwa sawa. kuhusu mada ya jamaa ishanitokea pia kwa wasambaa lushoto mchana unagongewa mlango ukienda kufungua huoni mtu ,ukirudi tena ivyo ivyo,na ukifika muda wa kuingia field kufanya collection ya mapato ya gavoo kinaanza kizungu zungu ukienda hospitali hakuna kitu yaani ni balaa
 
Mimi ni mcheshi sana in the right group...
Sema ni maisha ndo yalinishape kuwa mtu wa kuishi hivyo. Yaani ni mpaka niwe a mtu nae jua hana traits za wivu na tunaendana
Watu wengi kama nyie mnarogwa sana sababu wanaona unajiona sana nini ufanye kaa nae hata siku za weekend spend time nao hapo mtaani huwezi kuwa busy kila siku mkuu usipofanya hivyo siku ukiumwa utajihudumia nimekupa protocol
 
Mimi ni mcheshi sana in the right group...
Sema ni maisha ndo yalinishape kuwa mtu wa kuishi hivyo. Yaani ni mpaka niwe a mtu nae jua hana traits za wivu na tunaendana
mi pia ni mkimya sana kutokana na kufiwa na wazazi wote nikiwa mdogo na kisha kupelekwa kuishi na mama mdogo iliniathiri sana ,sikuamini yaani kama kifo cha mwisho cha mama yangu ni kama niliingiwa na mshangao nilikuwaga mtukutu na kupigana mitaani ila baada ya kufiwa nikageuka nikawa mpole na mkimya sana ,hali ambayo imeniathiri hadi now
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…