MtambwePemba
Member
- Jul 15, 2026
- 19
- 26
Mimi haukua uchawi sijui ilikua ni kitu gani kilinisababisha. Ndoe ndio nini ifafanue kidogoInatokea sana hiyo na sio uchawi huo. Unaweza kupoteza dira sehemu ambayo ni mwenyeji kabisa, unapapita hadi nyumbani kwako. Watu wa Singida wanaita "Ndoe"
Mimi binafsi haijawahi nitokea ila nimeshuhudia watu kadhaa ikiwatokea miaka ya nyuma, sijui kwa sasa. Mfano mtu kazaliwa mtaa fulani na amekulia hapo hapo hadi utu uzima, lakini siku ya siku kama alikua ametoka kwenda matembezini anapasahau anapoishi anatokea hata mtaa wa 7 huko, inawezekana na anapita hapo hapo kwake. Hiyo ni kijijini na hakuna msongamano.Mimi haukua uchawi sijui ilikua ni kitu gani kilinisababisha. Ndoe ndio nini ifafanue kidogo
Umeambiwa hao majirani walikuwa ni wanyakyusa? Wasafwa unaachaje kuwataja ikiwa ndio jiji lao?Cheza na Nyakyusa ww😂😂
Kwa hiyo kilicho kufanya upotezee vitu ni kukosa kumbukumbu au uliibiwa tu... Na hicho kitendo ndo kikakubadili ?ni miaka mingi imepita iyo hali ilinianza dar nilipoteza kila kitu changu kwenye bias hara mpk leo sijarudi kwenye maisha halisi kama nilivokua.
saiv nasali sana na maombi yananisaidia
Hii stori ya kutunga ama?Wapo.
Baba yangu aliuwawa hapohapo alikua jeuri.
Kaambiwa usipite huku yeye msahaulifu anapita mlemule anakunja kona anatambaa kwenda mjini.
Yule bibi frenki simsahau,
dingi alipiga mwereka pale akaambiwa hilo onyo tu,
Akapita tena hakurudi.
Kilisikika tu kilio "mamaaaa ngufwa"
Hii ni kweli kabisa.Hii stori ya kutunga ama?
Aisee pole sana mkuuHii ni kweli kabisa.
Kwa macho yangu na Baba aliniambia kila kitu.
Siku 2 hajafa alinikabidhi radio monography ina player santuri juu🥲
Na sahani zote (Franco,Sam mangwana,Tabu Ley,Nico zengekala,hadi viva la muzica enzi ikiitwa extra vuvu)
Kiupole sana "Mwanangu Nikifa kaa na hivi vitu ujiburudishe"
Na kafa kweli ni miaka 40 imepita sasa.
Natural tu,nimekaa sana area za wachaw wanaishia kuniita mchawi mwenzaoKivipi unatumia nini?
Naam!Nilijua kabisa kuna Mungu sio huyo tunayehubiriwa makanisani bali yule aliye ndani yetu.
Sipo na mungu ila uchawi haunigusiKama uko na Mungu kweli hautakugusa.
yahMlikuwa bado wadogo si ndio?
Summarize Thread (AI)Oya atakae soma hadi mwisho atanisimulia mm sw.
Kazi ni kipimo cha utu