Mbeya Pazuri...

πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† kweli kila sehemu zina vibes zake, mara ya kwanza nafika mbeya 2018. Nilibaki nastaajabu tu kwanini mbeya ni jiji, na sikuwahi ona vibe zozote. Mji ikifika saa tatu usiku unapoaa
 
noma sana
ushauri, tumia ndom za bati huko, mkeka wa tacaids huko ni mwendo kutiki tu
Hahahahah nimecheka sana mzee.

Hawa jamaa wa huku pamoja kuwa na akili sana ila sijui kwanini ndomu huwa hawatumiii inapelekea mamabukizi makumbwa.

Watu wa mbeya nawakubali sana hasa wanyaki.

Ila wananiangusha kwenye ngwengwe.

Sio mbeya mjini, rungwe Wala kyela niwendo wa kusambaziana tu.
 
Umesahau kuitaja Mwailubi. Sisi wengine tulipenda zaidi Ghana πŸ‡¬πŸ‡­ Bar na Kalembu. Nasikia Kalembu haipo tena.

It was the best home of michemsho na BBQs
 
hahahaha kwa Dar, Kyela ndogo ni Sinza
 
[emoji38][emoji38][emoji38] kweli kila sehemu zina vibes zake, mara ya kwanza nafika mbeya 2018. Nilibaki nastaajabu tu kwanini mbeya ni jiji, na sikuwahi ona vibe zozote. Mji ikifika saa tatu usiku unapoaa
Mkuu Kuna baadhi ya maeneo yanashangaza sana aisee

Hata Mimi sometime najiuliza iweje mbeya iwe Jiji wakati morogoro sio Jiji.

Moro kumechangamka sana kuliko mbeya 24/7 watu wako mbize ule mji.

Watu Wana karanga kiepe saa 9.30 Moro.

Hio muda mbeya wanakoroma [emoji1787][emoji1787]

How comes mbeya iwe Jiji ila Moro isiwe Jiji

How comes Tanga iwe Jiji ila Moro isiwe Jiji

Hadi Leo sielewi
 
Mbeya rangi ya udongo na rangi na ya nyumba nyingi za mbeya zinafanana.[emoji1787][emoji1787]
 
I hope one day nita jaku yambe
Karibu mbeya mzee mitaa ya nanenane, SAE, ilomba, mama John , Soweto njelii(mwanjelwa),mafiati, forest, meta, simile, NZOVWE, iyunga, iwambi hadi kule mbalizibna sokomatola[emoji1787][emoji1787].

Ila mbeya bhana eti Kuna mtaa unaitwa MAMA JOHN[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…