Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 862
- 1,755
Ukitazama hii picha kiongozi huyu ameonyesha hisia na hamasa kubwa katika kuhakikisha anatimiza majukumu yake bila kujali hali aliyokuwa nayo.
Nyie! kuna watu wanavipenda vyama vyao katika kila mazingira.
==============
Katibu Mwenezi wa Kata ya Iganjo, mkoani Mbeya, Muhamed Mwanitwe akiwanadi wagombea wa uchaguzi wa serikali za mitaa, vijiji na vitongoji (hawapo pichani) leo Jumapili Novemba 24, 2024 katika Kata ya Uyole mkoani humo.