A
Anonymous
Guest
Rejea mada tajwa hapo juu.
Shule ya sekondari Mawindi ambayo Inafanya Vizuri katika matokeo ya Kidato cha nne kwa Miaka mitatu mfululizo wameweza kufuta Division Zero.
Lakini pamoja na Uwepo wa wanafunzi zaidi ya 1450 Maji ni tatizo kubwa. Kwa advance wanafunzi wote wanakaa bwenini lakini maji wanachota kwenye madimbwi na kwenye Korongo linalotililisha maji kutoka Mto Halali ambayo ni maji ya mvua. Korongo hilo maji hayohayo mifugo inakunywa ndio hayohayo wanamwagilia mashamba ya mpunga. Ni changamoto kubwa.
Kuna bomba ya koki moja tu la idara ya maji limeleta shuleni mwaka jana lakini wiki ya tatu halitoi maji. Vyoo hakuna maji watoto wanajisaidia vichakani maji ya kupikia yanachotwa kwenye vidimbwi ni machafu sana.
Hadi kuna muda walimu wananunua maji ya dukani ili wapikie chai kutokana na maji kubwa changamoto.
Tunaomba mpaze sauti hii shule inahitaji kisima chakisasa kinachotiririsha maji masaa 24 kutokana na idadi ya wanafunzi waliopo zaidi 1450. Naomba sana Mtusaidie kupaza sauti juu ya hili
Watoto wamekuwa wakiugua magonjwa ya ngozi mara kwa mara pia matumbo na kuharisha.
Mara kadha viongozi wameambiwa lakini hakuna kinachofanyika.