Mbeya si kwa mchezomchezo, wasanii mkienda kupiga show jiepusheni na siasa za uchawa

KING MIDAS

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2010
Posts
8,589
Reaction score
16,936
Kikwete alipopolewa akiwa ziarani akitokea Chunya. Kuna safari alizuiwa barabarani Uyole.

Magufuli alizomewa uwanja wa Sokoine hadi akashindwa kuhitubia.

Kwa ufupi CCM haikubaliki Mbeya, na ukitaka usipigwe, jiepushe na uchawa, hapo utakuwa salama.

Mbeya Samia haikubaliki wala Tulia Ackson
 
Halafu utasikia mbunge wa ccm alishinda kwa kishindo!
 
Sio kweli kuwa ishu ni siasa kwasababu katika show ya Zuchu hakuna sehemu amezungumzia siasa.
 
Back
Top Bottom