KING MIDAS
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 8,589
- 16,936
Haukuwa uchaguzi ila uchafuziHalafu utasikia mbunge wa ccm alishinda kwa kishindo!
Alisema mitano tena kwa mamaSio kweli kuwa ishu ni siasa kwasababu katika show ya Zuchu hakuna sehemu amezungumzia siasa.
Lete hiyo clipAlisema mitano tena kwa mama
Kwa ufupi CCM haikubaliki Mbeya, na ukitaka usipigwe, jiepushe na uchawa, hapo utakuwa salama.Kikwete alipopolewa akiwa ziarani akitokea Chunya. Kuna safari alizuiwa barabarani Uyole.
Magufuli alizomewa uwanja wa Sokoine hadi akashindwa kuhitubia.
Kwa ufupi CCM haikubaliki Mbeya, na ukitaka usipigwe, jiepushe na uchawa, hapo utakuwa salama.
Mbeya Samia haikubaliki wala Tulia Ackson
HakikaKwa ufupi CCM haikubaliki Mbeya, na ukitaka usipigwe, jiepushe na uchawa, hapo utakuwa salama.