Superbug
JF-Expert Member
- Jan 31, 2018
- 13,864
- 35,079
Kwa ufupi mbeya sio wanafiki sio watu wa kujipendekeza hawaendeshi kiboya na hawaogopi mtu.
Hii inasababishwa na hulka ya wale watu ni wachapakazi hivyo Wana financial muscles mtu mwenye uchumi mzuri hapelekeshwi Wala hababaishwi.
Mathalani mfano wanyakyusa moja ya makabila ya mbeya na moja ya makabila makubwa Tanzania kijana wa kiume akishafikisha umri wa kubalehe anatoka kwenye nyumba ya baba na mama anaenda kujijengea kajumba kake huko kwenye shamba la migomba ya baba yake na anamiliki ratiba yake mwenyewe muda gani alale na aamke tofauti na makabila ya pwani kama waluguru mtu ana ndevu bado anaishi kwa baba na mama.
Watu wa mbeya wanapenda mabadiliko kumbuka ndio wao Kati ya maeneo ya kwanza Tanzania kutawaliwa na wapinzani miaka ya 1995 mengine ni kigoma dar na Moshi .
Iacheni mbeya iitwe mbeya wenyewe wanajiita nchi na rais wao ni sugu.
Sijawahi kuwadharau watu wa mbeya hata kidogo. Nawahakikishia Arusha ni chamtoto sana kwa mbeya. Arusha wanaweza kusaliti mabadiliko lakini sio mbeya aiseee wale watu muulizeni Jakaya Mrisho Kikwete anawaelewa.
Lissu mbeya anashinda kwa 98% na sugu Ubunge atashinda saa tatu nanusu asubuhi. Yani saa moja na nusu baada ya vituo kufunguliwa.
Tukutane 28/10 kwasasa nipo kilosa kwa profesa wa jalalani.