Uchaguzi 2020 Mbeya sio wanafiki, sio watu wa kujipendekeza. Hawaendeshwi na hawaogopi mtu

Naunga mkono hoja mkuu Mbeya wanaelewa Nini maana ya maisha..angalia limkoa Kama la Dom..la hovyo mijitu inaomba omba kila iitwapo leo...angalia tabora huko ni masikin balaa wanawaza kuozesha watoto wadogo wapate vihela...hii nchi Kama laana Basi iko Ile Kali kbs..hongereni Mbeya kujitambua ..
 
MTU yoyote mwenye uwezo WA kutafuta ugali wake hawezi kujikomba. Hizo kazi ni Akina Nnape sio wanyaki.
Watu wanajilimia mipunga yao, wanapata ela zao ,wanakula wanashiba ,ccm itawaambia nini. Ccm na umaskini ni kama rungu na mgambo ndio inapendwa na maskini walio wengi. Angalia Dom, tabora kwa akina kigwa
 
Mbeya ni noma ukitaka kujua hilo tembelea huo mkoa watu hawacheki na nyani CCM haipendwi kabisa ,unaweza ukawahonga wakaja kwenye mikutano kama anavyofanya yule Aibu Spika lakini kwenye sanduku hupati kura zao.Sehemu nyingine ni Tunduma watu nao wako sawa wana ujasiri.
 
Mbeya mmeonesha njia wapinzani wa kweli hongereni sana!
 
Ni kweli kabisa mtu mwenye kujiweza kiuchumi hababaishwi, lakini huwa yuko makini na chanzo Cha uchumi wake, na ikumbukwe kuwa suala la uchumi linategemeana na shughuli mbalimbali katika eneo husika na haipingiki kuwa tunategemeana ili uchumi uwe imara, Uthabiti wa vizazi vya awali na rasilimali katika eneo fulani hufanya watu waendelee au wasiendelee, hivyo kabla ya mihemko ya kuhisi kuwa mtu fulani anaweza kukufanya kuwa imara zaidi, Ni vizuri kumjua kiundani, "Twende sawa na kipindi"
 
Umekosea ulipoingiza kabila la wanyakyusa,ngome ya upinzani mkoa wa mbeya ni mbeya mjini na wakazi wa pale ni mchanganyiko.Wanyakyusa wengi wapo Rungwe na Kyela na ni ngome za CCM
Hivi leo hii kuna mtu timamu bado yuko ccm?
 

Kagemro

Naona umekosa Cha kucomenti, unachungulia kamsimulie mzee October 28 mtakuwa chini ya lissu, ndo ataamua hatima yenu awarudishe bongo au muendelee kuishi sweeden
 
Kagemro

Naona umekosa Cha kucomenti, unachungulia kamsimulie mzee October 28 mtakuwa chini ya lissu, ndo ataamua hatima yenu awarudishe bongo au muendelee kuishi sweeden

Hahaaaaa ! Thank you for offering a smile.
For your information we have a choice 4Ws
 
Umekosea ulipoingiza kabila la wanyakyusa,ngome ya upinzani mkoa wa mbeya ni mbeya mjini na wakazi wa pale ni mchanganyiko.Wanyakyusa wengi wapo Rungwe na Kyela na ni ngome za CCM
Upo sahihi, naishi Mbeya mjini hapa hakuna wanyakyusa kabisa... Ni adimu kuwapata, wabena na wakinga wengi...
 
Siyo tu mtashindwa Mbeya, Bali mtashindwa vibaya Tanzania mzima. Watu mnaowaona Walikuwapo na wataendelea kuwapo. Watakusanyika kuwasikiliza ndani Yao ukweli wanao.
Kwakuwa siku zote mmekuwa watu wa mihemuko basi stand by!
 
Kweli nimeamini,like father like son.Usijione umesimama imara msije kusaga meno baadae.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…