LGE2024 Mbeya: Sugu ashiriki zoezi la kupiga kura

LGE2024 Mbeya: Sugu ashiriki zoezi la kupiga kura

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Cute Wife

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
1,906
Reaction score
5,000
Wakuu,

1732705416721.png

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendelo (CHADEMA) Kanda ya Ziwa Nyasa, Joseph Mbilinyi maarufu kwa jina la Sugu, ni miongoni mwa wakazi waliojitokeza kupiga kura katika Mtaa wa Tonya Jijini Mbeya kuchagua viongozi wa Serikali ya mtaa anaoishi.

Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Sugu ameonyesha kuridhishwa na zoezi linavyokwenda na kuomba mamlaka kurejebisha kasoro ndogo zilizojitokeza.

Sugu ambaye ni Mbunge wa zamani wa Mbeya Mjini alifuatana na mke wake kupiga kura kuchagua viongozi wao.
 
Back
Top Bottom