LGE2024 Mbeya: Sugu atahadharisha Wazazi kuhakikisha Watoto wao wa under 18 wasijiandikishe ili kutumika kwenye Uchaguzi, kitakachowapata wasimlilie Mtu

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Leo nimejianfikusha vita haikimbiwi watoto wakae nyumbani tutawachoma moto,hii ni zaidi ya wizi wa simu.
 
Mnataka kuwateka?
 

Uchaguzi ukigubikwa na mizengwe mingi kiongozi mkuu anachafuka sana.yaani hawezi simama popote kwamba yeye ni mtalaamu wa uchaguzi wa huru na haki.yaani kwa nini ufanye faulo faulo,ni nini hasa.si uache mifumo isomane yenyewe.hata huwezi jua kiasi cha watu wanaokupenda na wanqo kuchukia.

Wiz wizi wizi kila kona.Wanaanzia wizi kwenye sanduku la kura halafu wanaenda kuiba fedha za umma.huwezi wakataza kwa sababu walikuibia kura ndiyo maana ulishinda
 
Yaani Mimi nazidi kusisitiza kila kituo kuwe na Mawakala makini tu, nakumbuka 2020 nilileta Utata kwenye kuhesabu kura mpaka yule Wakala wa CCM alinywea na wakati wa kuondoka nikaitwa na Mapolisi nikajifanya naenda chooni nikaenda kuruka ukuta na kutokea upande wa pili nduki mtaani na nilikosimamia Tarimba alikuwa kapigwa kama kura 16 au 19, Magufuli kura 22. Lakini ni vile tu tayari Mwendazake alikuwa ameshafanya dhuruma tayari.
 
Kupiga kura ni lazima kwa wapenda maendeleo,ingawa inaweza ikawa ni ishara mbaya ya mifarakano na magomvi yasiyo na tija.
WITO: chaguzi zijazo zifanyike bila kutumia karatasi,mpiga kura atumie finger print kupiga kura yake.
 
Wasimlilie mtu
Hamna kitu mtafanya zaidi ya kufuata Sheria sababu chama Cha siasa Si jeshi kwamba litumie nguvu.

Fanyeni tu siasa, kupaza sauti Kila panapotokea uvunjifu wa Sheria na HAKI, kamwe msitumie nguvu, ni kinyume Cha Sheria.
 
Mkuu kila siku nakuambia Wagombea wawezeshwe kwenye hizi Kampeni na hoja za nguvu tunazo tayari. Mawakala makini na jasiri wasimamie uchaguzi mbona hawa watapigika tu. Siku ya kuapishwa Mawakala pale Kinondoni walianza kuleta mizengwe tulikomaa sana mpaka wakalegea na wakaleta na magari ya Polisi. Alafu ujinga mwingine waliotaka kuuleta walitaka wasigonge mihuli kwenye viapo vya mawakala watu tukachachamaa wenyewe wakalegea.
Erythrocyte naendelea kukusisitiza Mkuu, Wagombea wapewe nguvu hasa kuelekea huu uchaguzi maana kero na hoja tunazo tukiziongea mbele ya Wananchi Upepo utabadilika na watajuta kwanini walikuwa wanaokoteza mamluki kuwaandikisha. Mawakala wapewe posho nzuri mbona itakuwa jino kwa jino. Waoga mnoo mbinu zao ni za kitoto na za kizamani sana.
 
Ngoja tusubiri.
 
Sugu HANA UWEZO wa kufanya chochote kwa hao watoto. Hiyo mikwara ya kipumbavu ibaki humu humu JF!
 
Nimekupata vizuri sana
 
Wakala:Karibu
Mpiga kura :Asante
Wakala:taja majina yako matatu
Mpiga kura:Naitwa Nishai Mikazo Miguno
Wakala:una miaka mingapi?
Mpiga kura:24
Wakala : unaishi wapi.
Mpiga kura : kwa mzee juma
Wakala :Mjumbe wako nani
Mpiga kura: Mzee Mchengerwa
Wakala :Haya saini hapa uende ,uje tarehe 27 November
Mpiga kura : Asante

MFUMO HUU WA KTAPELI BWANA TUSICHOSHANE🚮
 
Ccm wamejichanganya pakubwa , moto wa uchaguzi ujao pamoja na mbwembwe zote sijui za kukusanya majina mapema watashangaa, wakileta mzaa watasababisha madhala makubwa kwa watendaji wa kata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…