LGE2024 Mbeya: TAMISEMI yapongezwa kusimamia vizuri kura za maoni Uchaguzi Serikali za Mitaa, wasema wana imani na sheria na kanuni zilizowekwa

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Cute Wife

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
1,906
Reaction score
5,000
Wakuu,
Kazi kweliweli, huku Nchimbi anawaambia TAMISEMI walegeze kamba Demokrasia yetu bado changa, huku wanasema kila kitu kipo byeeee! Tuendelee kunywa mtori nyama tutazikuta chini :BearLaugh: :BearLaugh: :BearLaugh:

=====

Serikali kupitia Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Ofisi ya Rais - TAMISEMI) imepongezwa kwa kuweka kanuni rafiki wakati wa uchaguzi wa kura za maoni kwa vyama mbalimbali ikiwa ni kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa ambao utafanyika Novemba 27 mwaka huu.

Soma Pia:
Pongezi hizo zimetolewa na Mkazi wa mkoa wa Mbeya Yosia Mwakalagho ambapo amesema kuwa Serikali ya awamu ya sita imeendelea kuwaka usawa katika demokrasia huku akiongeza kuwa wakazi wa Mkoa wa Mbeya wana imani na kanuni, taratibu na sheria zilizowekwa kuratibu uchaguzi katika maeneo mbalimbali
 
Watu wa Mbeya tangu lini wakawa na akili timamu?

Kama wanamuita Yule Kibaka Chief God love Mungu unadhani Kuna watu wenye akili hapo?
 
Mleta mada kuwa serious kidogo, yaani huyo mjomba wako mmoja kalewa na kuongea huo upuuzi unakuja JF kusema ni watu wa mbeya wamesema?
Una akili kàma lucas mbwa wa shamba.
 
Wakuu,
Kazi kweliweli, huku Nchimbi anawaambia TAMISEMI walegeze kamba Demokrasia yetu bado changa, huku wanasema kila kitu kipo byeeee! Tuendelee kunywa mtori nyama tutazikuta chini :BearLaugh: :BearLaugh: :BearLaugh:

=====

Serikali kupitia Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Ofisi ya Rais - TAMISEMI) imepongezwa kwa kuweka kanuni rafiki wakati wa uchaguzi wa kura za maoni kwa vyama mbalimbali ikiwa ni kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa ambao utafanyika Novemba 27 mwaka huu.

Soma Pia:
Pongezi hizo zimetolewa na Mkazi wa mkoa wa Mbeya Yosia Mwakalagho ambapo amesema kuwa Serikali ya awamu ya sita imeendelea kuwaka usawa katika demokrasia huku akiongeza kuwa wakazi wa Mkoa wa Mbeya wana imani na kanuni, taratibu na sheria zilizowekwa kuratibu uchaguzi katika maeneo mbalimbali
Kenge wa ccm ktk ubora wao, wanajitekenya na kucheka wenyewe!
 
Watu wa Mbeya tangu lini wakawa na akili timamu?

Kama wanamuita Yule Kibaka Chief God love Mungu unadhani Kuna watu wenye akili hapo?
Kuwa nà akili basi, mleta mada kamsikia mlevi mmoja anaropoka ndo kaleta madà. Sasa huyo punguani mmoja ndio watu wa mbeya?
 
Wakuu,
Kazi kweliweli, huku Nchimbi anawaambia TAMISEMI walegeze kamba Demokrasia yetu bado changa, huku wanasema kila kitu kipo byeeee! Tuendelee kunywa mtori nyama tutazikuta chini :BearLaugh: :BearLaugh: :BearLaugh:

=====

Serikali kupitia Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Ofisi ya Rais - TAMISEMI) imepongezwa kwa kuweka kanuni rafiki wakati wa uchaguzi wa kura za maoni kwa vyama mbalimbali ikiwa ni kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa ambao utafanyika Novemba 27 mwaka huu.

Soma Pia:
Pongezi hizo zimetolewa na Mkazi wa mkoa wa Mbeya Yosia Mwakalagho ambapo amesema kuwa Serikali ya awamu ya sita imeendelea kuwaka usawa katika demokrasia huku akiongeza kuwa wakazi wa Mkoa wa Mbeya wana imani na kanuni, taratibu na sheria zilizowekwa kuratibu uchaguzi katika maeneo mbalimbali
Mchengerwa adui no moja wa Taifa , hakuna cha kulegeza kamba , wamefanya ujinga mpaka wanajiona wajinga.

Rudisha wagombea wote
 
Back
Top Bottom