Wakuu,
Kazi kweliweli, huku Nchimbi anawaambia TAMISEMI walegeze kamba Demokrasia yetu bado changa, huku wanasema kila kitu kipo byeeee! Tuendelee kunywa mtori nyama tutazikuta chini
=====
Your browser is not able to display this video.
Serikali kupitia Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Ofisi ya Rais - TAMISEMI) imepongezwa kwa kuweka kanuni rafiki wakati wa uchaguzi wa kura za maoni kwa vyama mbalimbali ikiwa ni kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa ambao utafanyika Novemba 27 mwaka huu.
Pongezi hizo zimetolewa na Mkazi wa mkoa wa Mbeya Yosia Mwakalagho ambapo amesema kuwa Serikali ya awamu ya sita imeendelea kuwaka usawa katika demokrasia huku akiongeza kuwa wakazi wa Mkoa wa Mbeya wana imani na kanuni, taratibu na sheria zilizowekwa kuratibu uchaguzi katika maeneo mbalimbali

Mleta mada kuwa serious kidogo, yaani huyo mjomba wako mmoja kalewa na kuongea huo upuuzi unakuja JF kusema ni watu wa mbeya wamesema?
Una akili kàma lucas mbwa wa shamba.