mwanamasala
JF-Expert Member
- Jun 20, 2009
- 248
- 12
Mponjoli Malakasuka nafikiri is the only famous export from Mbeya region!
Hata mafraudsters wa Kinigeria hawamfikii!I guess hizi gari zote alikuwa ananunua cash,kutoka kwa carjackers!Kama pesa za EPA zimo ,ni very interesting,tunasubiri majina ya wafisadi hawa,ambao wametuharibia jina huko UK,Midlands!
Huyu mchungaji alimfungisha ndoa Mponjoli,shame to him!
Pretty unafaidi matunda ya criminality ya ndugu yako Mponjoli?
mwambie huyo *****,yeye anakazania tu kuchafuliwa jina huko u.k,nyie ndo mnawalamba miguu wazungu hata wakiwatukana,huyo mponjoli ni mfano tu wa watoto waliokuzwa mbeya tena huyo ukimpeleka kwa watoto wenyewe wa kazi mbeya town pale watamvalisha kanga acheze mdundiko tu,huyo pale mbeya hatambi kabsa uliza uambiwe,kuna vijana walikua wanakata viungo vya binadamu na walikua wanatumwa na wazungu miaka hiyo pale forest karibu na mwanjelwa huyo mponjoli nadhani alikua yuko chekechea,lile pori lilikua limejaa gari za kisasa zinanguruma na ole wako wakukamate,ukitembea mle kukutana na mafuvu ya binadamu ilikua kawaida kabisa,hivyo wewe ukiona kijana kutoka mbeya akatoka nje na kuona maisha yalee mengine elewa huyo mtu roho yake ngumu kamajiwe hawezi kuogopa chochoteataiba mpaka visivyoibwa,umafia kule ni kawaida,we uliza miaka ya 80,s kulikua na watu gani na walikua wanafanya nini,na huyo dogo baba yake hao ndo walikua washkaji zake,jombi,jengela,kibo family,jimmy k,.hiyo ni mifano tu ya watu kama mponjoli,hakuna haja ya kumlaumu.Sasa na wewe huyo mchungaji aliyemfungisha ndoa Mponjoli kafanya kosa gani mtumishi wa watu? Au kuna uhusiano gani kati ya pastor na utapeli wa mponjoli?
Au madhumuni yako ni nini haswa hadi kuweka picha ya mtumishi wa watu hapa?Kama huna thread ya kuanzisha nafuu uchangie za watu wengine kuliko kuweka sura ya huyo mtumishi asiyekuwa na hatia.