Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani eneo la kuchezea la uwanja wa sokoine ni gumu Sana wenzenu Tanga wame badilisha na kuweka nyasi bandia na mbeya kwa Hali ya hewa Bora muwe na nyasi bandia.Sitaki kuongea mengi sana, ila kwa heshima ya mkoa wa Mbeya, hakika tuna uhitaji wa uwanja wa kisasa. Uwanja wa michezo wa kisasa
Kuna faida nyingi kuliko hasara, ila uwanja wa kisasa ni muhimu kwa mkoa wetu huu wa Mbeya