Yaani eneo la kuchezea la uwanja wa sokoine ni gumu Sana wenzenu Tanga wame badilisha na kuweka nyasi bandia na mbeya kwa Hali ya hewa Bora muwe na nyasi bandia.
Ule uwanja ulikua wa kurekebisha pitch, eneo la jukwaa, miundombinu ya kuingia na kutoka uwanjani basi wanakua wamemaliza. Lakini sasa naona wahusika vipaumbele vyao havipo Mbeya. Waache waendeleze kwingine.
Afcon ya mwaka 2017 ilibidi walau hata Mbeya iwe na uwanja wa maana. Wamepeleka Arusha kwa sababu za kiutalii lakini baada ya hapo utakua unatumika kwa nadra na wakati Mbeya inatoa timu za ligi walau mbili kila msimu.