Mbeya University of Science and Technology versus Massachusetts Institute of Technology

Nisijichoshe kuchangia hii mada.
 
Tatizo ni Serikali ndio haweki fungu la utafiti kwa kifupi haithamini tafiti za wasomi wetu katika kutatua changamoto za wananchi.
Tuliwahi (REPOA) kuishauri serikali kuanzisha taasisi ya tafiti,lakini mpaka leo kimyaa.
 
Wanachuo wa hapo walikua wanajulikana kwa kuiba mpaka lathe machine 😛
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…