Mbeya University of science and technology

matyhans

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2013
Posts
611
Reaction score
403
Jaman naomb kuuliza kwa anayefahamu tarehe ya kufungua chuo cha m.u.s.t kwa diploma ktk mwaka wa masomo 2013/2014
 
Maxomo yanaanza lini hapo must kwa masomo ya pre-entry
 
Hiyo lugha inaweza kuwa kizulu kule kwa mzee Madiba.Hawa vijana wana mambo sana mkuu!

jaman mkianza kulumbna kuhusu uandish hatutafikia lengo cha msing ni kujibu swali lililoulizwa kama hujui kaa kimya
 
Mbona kuna wengine nasikia wameshaanza mwez huu tar 5 kwa wale waliochaguliwa ili wapige kozi ya wiki kumi kabla ya hawa wengine hawajafungua
 
hawaja qualify ndio maana wakaenda kwanza wameenda kufanya pre entry. il wawe na qualifcation za kusoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…