Mwanongwa
JF-Expert Member
- Feb 15, 2023
- 611
- 567
Jiji la Mbeya na vitongoji vyake suala la usafi limekuwa ni changamoto sana.Takataka zimezagaa kila kona ya mitaa ya jiji hilo .
Wananchi wanatozwa pesa za taka na wanaambiwa taka hizo wazitoe majumbani zikiwa kwenye viroba kisha kuziweka barabarani kwaajili ya magari kubeba lakini matokeo yake gari hazipiti kubeba kwa wakati na badala yake zinazagaa tu barabarani.
Kuna Wazabuni ambao wamepewa kazi hiyo ya kukusanya taka na hawa ndiyo wamekuwa kero kubwa sana maana wanavifaa duni vya kubebea taka.
Taka zinaweza kukaa siku tatu mapaka tano barabarani bila kusombwa,hali hiyo inatishia uwepo wa magonjwa ya mlipuko endapo hatua mathubuti zisipochukuliwa.
Kata ya Forest, Mtaa wa Mahakama Kuu