Mbeya: Usajili wa Bajaji wapigwa marufuku

Namuona kiongozi wa Serikali, hawa wengine wenye uniform za chama hawawezi kutofatisha shughuli za serikali na chama?
 
Kwahiyo unatakaje? Cha msingi miundo mbinu iweze kumudu ongezeko la hivyo vyombo.
Bajaji kuwa nyingi ni ishara ya maendeleo, inapaswa tujikite katika kutengeneza miundo mbinu ili tuweze kumudu athari mbalimbali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…