Wanajamvi,
Naombeni msaada kama kuna mkazi wa Mbeya Uyole au Mbulu, nahitaji kukodi shamba heka kuanzia 2 ili nikalime huko maisha magumu huku mjini.
Kama yupo tafadhali naomba umsaada wa kupata shamba Mbeya Uyole au Mbulu kama inawezekana nipate mawasiliano yako tujadili kuhusu upatikanaji wa shamba na bei gani wanakodisha kwa Heka moja. Nataka kulima Mpunga, Viazi na vitunguu swaumu.
Karibuni