Ndukumi sana polisi..Vijana wa Chadema waliokuwa wanashikiliwa na jeshi la polisi mkonani Mbeya wameanza kuachiwa.
Hawana akili kabisaPolisi wajuaji sana, kuwaambia viongozi wa Chadema wawatafutie wadhamini wale vijana walioshikiliwa vituoni, matokeo yake wakajibiwa hao hawana makosa endeleeni kuwashikilia tukutane kesho mahakamani.
Sasa polisi kwa kuwaachia bila wadhamini wamethibitisha wao ni watekaji rasmi, na wavunja sheria namba moja nchi hii wakishirikiana na viongozi wa CCM.
Wakishirikiana na tulia akson polisi wa nchi hii akili maandaziPolisi wajuaji sana, kuwaambia viongozi wa Chadema wawatafutie wadhamini wale vijana walioshikiliwa vituoni, matokeo yake wakajibiwa hao hawana makosa endeleeni kuwashikilia tukutane kesho mahakamani.
Sasa polisi kwa kuwaachia bila wadhamini wamethibitisha wao ni watekaji rasmi, na wavunja sheria namba moja nchi hii wakishirikiana na viongozi wa CCM.
Wasiojulikana hatimaye wajulikana...ilikuwa ni swala la muda tu!
Serikali gani iliyopinduliwa? Au unaushi Neptune? Walichopinga vijana wa Kenya ni Sheria mbovu na haikusainiwa. Hawakuwataka mawaziri mafisadi. Walikosea wapi? Kwanini mnadanganywa na watu wanaokula keki ya taifa pekee yao halafu mnachukia wanaotetea raslimali za taifa? Au na wewe Umeshika pande la keki unamung'unya taratibu? Acheni hizo muwe na uchungu na vizazi vyenu vya miaka 100 ijayo!Wasingewaachia....
Hawa vijana wenzetu wanataka kuiga wakenya kulitia moto taifa na kuipindua serikali halali....
#Kauli Za Mwaipaya
Hao wanawake 19 hawajaachiwa kwa sababu nje kuna baridi, asubuhi watatoka.Habari njema kutoka Mbeya
Vijana wa CHADEMA waliokuwa kituo cha Polisi Utengule Mbalizi wameachiwa usiku huu bila masharti yoyote.
Updates
Catherine Ruge: Wameachiwa wote isipokuwa wanawake 19 bado wako mahabusu. HOW?
Pia soma