LGE2024 Mbeya: Vituo vya kupigia kura havina ukaguzi wa majina Kwenye daftari, kila mtu anapiga tu

LGE2024 Mbeya: Vituo vya kupigia kura havina ukaguzi wa majina Kwenye daftari, kila mtu anapiga tu

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Mwanongwa

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2023
Posts
611
Reaction score
567
Habari ndugu zangu,
Hivi kulikuwa na haja gani Sasa ya kuwaandikisha wananchi Kwenye daftari la kupiga kura?

Maana huku Nsalaga mtaa wa Ntundu watu wanaingia Kwenye chumba Cha kupigia kura bila kukaguliwa majina Yao Kwenye daftari.

Kwa maana hiyo hata yule ambaye hakujiandikisha anaweza kupiga kura bila shida yoyote.

Soma Pia: Yanayojiri kuelekea uchaguzi Serikali za Mitaa mkoa wa Mbeya


Swali la kujiuliza kulikuwa na ulazima gani wa kutumia gharama kubwa Kuendesha shughuli ya uandikishaji wakati kupiga kura hakuna ulazima wa Jina kukaguliwa.

Yaani ukipanga foleni na kufanikiwa kuingia Kwenye chumba Cha kupigia kura basi umetoboa kupiga kura hata kama Jina lako halipo Kwenye daftari la mkazi.

DSC_0273.JPG
 
Back
Top Bottom