Malata Junior
JF-Expert Member
- Nov 29, 2011
- 3,104
- 2,550
Haihitaji elimu ya juu kuzibaini akili zilizochanganyika na kinyesiHeshima kwenu wakuu.
Kama tunavyojua wote, Spika wa Bunge Tulia Ackson ni mwanachama na shabiki lia lia wa Simba Sports Club.Mh Tulia pia ni mbunge wa Mbeya mjini na ni mlezi na mafadhili wa Mbeya City FC lakini mapenzi yake yamelalia zaidi kwa Simba kuliko Mbeya City.Hivyo basi mechi ya leo ni maigizo tu mechi ilishamalizika kwa maelekezo ya mheshimiwa kwamba Mbeya City wamwachie Simba ushindi tena Phiri afunge hat trick ili ampite Mayele kwenye msimamo wa mfungaji bora.Huu ni ujinga uliopitiliza!
Kinyesi kimembana huyo mla mihogoMpira haujaanza umeanza kulia kwa maumivu
Dodoma Jiji mlezi wao ni Anthony Mavunde utopolo kindakindaki. Matokeo ya jana yalikuwa maelekezo yake pia.Heshima kwenu wakuu.