Jamani wana jamii forums ninachukua nafasi hii kuwataarifu kwamba,mbeya maeneo ya mwanjelwa vurugu zimeanza mara baada ya wananchi kuchoka kusubiri matokeo.
Maeneo ya mafiat magari hayatembei kabisa kwa mujibu wa taarifa.
Naomba tume itangaze majibu haraka iwezekanavyo kuokoa jahazi maana watu wa mbeya niwajuavyo..

Fanyeni kama Mwanza, Komaeni hadi kieleweke, mkilala tu mkiamka Sugu chali
subira huvuta kheri
Hivi sasa maeneo ya mafiat mabomu yanarindima. Wafuasi wanaodaiwa ni wa chadema wamekusanyika kushinikiza matokeo ambayo tume ya uchaguzi inasita kuyatangaza kukiwa na habari sugu ni mshindi na habari zingine zikisema mpesya wa ccm atatangazwa mshindi.
Msilazimishe atangazwe mnayemshabikia. Tuiachie tume itangaze tuliyempigia kura.
Mnalazimisha lazima ashinde wa Chadema?
Jaziba kama hizi ndo chanzo cha uvunjifu wa amani.