Mtoto halali na hela JF-Expert Member Joined Aug 10, 2012 Posts 52,160 Reaction score 48,974 Dec 21, 2013 #181 Inasikitisha, wapumzike kwa amani watoto wasio na hatia.
Tuko JF-Expert Member Joined Jul 29, 2010 Posts 11,180 Reaction score 7,346 Dec 21, 2013 #182 Mi sidhani kama ni sahihi kuhusisha mauaji ya hawa watoto na udhulumati wa Diwani. Waliowaua hawa watoto ni wahalifu kama wahalifu wengine, na wakikamatwa waadhibiwe kwa mujibu wa sheria..
Mi sidhani kama ni sahihi kuhusisha mauaji ya hawa watoto na udhulumati wa Diwani. Waliowaua hawa watoto ni wahalifu kama wahalifu wengine, na wakikamatwa waadhibiwe kwa mujibu wa sheria..
Rapherl JF-Expert Member Joined Jun 20, 2012 Posts 3,504 Reaction score 2,256 Dec 21, 2013 #183 Comi said: hilo si tukio la kisiasa. Hapo kinachotafutwa ni haki. Click to expand... Hao ndo walio wadhulumu?!
Comi said: hilo si tukio la kisiasa. Hapo kinachotafutwa ni haki. Click to expand... Hao ndo walio wadhulumu?!
Rapherl JF-Expert Member Joined Jun 20, 2012 Posts 3,504 Reaction score 2,256 Dec 21, 2013 #184 Mulungwani said: Sio siasa ww mbulula ni wizi na dhulma unaofanywa na watendaji wa chama na serkali yake Click to expand... Kwahiyo hao waliouwawa ni watendaji wa chama na serikali mbulula mkubwa?
Mulungwani said: Sio siasa ww mbulula ni wizi na dhulma unaofanywa na watendaji wa chama na serkali yake Click to expand... Kwahiyo hao waliouwawa ni watendaji wa chama na serikali mbulula mkubwa?
Msarendo JF-Expert Member Joined Jan 29, 2011 Posts 10,533 Reaction score 6,562 Dec 21, 2013 #185 CCM watachinjika sana mwaka huu
IamMrLiverpool JF-Expert Member Joined Apr 27, 2014 Posts 4,362 Reaction score 6,274 Sep 20, 2024 #186 Tusifike huku wakuu