figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
Wanatuona nyani tu😆😆Tuseme Mbeya wameamua au ndo kawaida yao? Wanasema Andrew Kantimbo atawafunga, atawanyonga, atawapiga ila ajue sio Mungu.
Kwamba anacheza na Chanda cha Mungu.
Nashauri IGP amhamishe Mbeya sababu inaonekana Moyoni anachukiwa sana na Wananchi anao wasimamia.
View attachment 2756804
Haki itamalaki uonevu uepushwe Nchi iwe na amani kamiliTuseme Mbeya wameamua au ndo kawaida yao? Wanasema Andrew Kantimbo atawafunga, atawanyonga, atawapiga ila ajue sio Mungu.
Kwamba anacheza na Chanda cha Mungu.
Nashauri IGP amhamishe Mbeya sababu inaonekana Moyoni anachukiwa sana na Wananchi anao wasimamia.
View attachment 2756804
Nawapongeza sanaTuseme Mbeya wameamua au ndo kawaida yao? Wanasema Andrew Kantimbo atawafunga, atawanyonga, atawapiga ila ajue sio Mungu.
Kwamba anacheza na Chanda cha Mungu.
Nashauri IGP amhamishe Mbeya sababu inaonekana Moyoni anachukiwa sana na Wananchi anao wasimamia.
View attachment 2756804