Habari,
Napenda kuzipa pole shule zifuatazo kwa matokeo mabovu ya kidato cha sita, kwanza kabisa META sekondari Ya Mbeya, Kwiru ya Morogoro, Mtwara tech ya Mtwara, Iwalanje ya Mbeya, Lugoba ya Pwani, Kaliua ya Tabora, Kilangalanga ya Pwani,Langwa ya Mbeya,Ilongero ya Singida na Bariadi ya Simiyu.
UJUMBE kwa waliopangiwa moja Kati ya hizo, "Katieni kazi kila mtu na kichwa chake."