Aluminium Technician
Member
- Sep 1, 2020
- 22
- 25
Habarini wadau wa jukwaa la ujenzi na makazi, poleni na harakati za hapa na pale, kikubwa tuombe uzima tufanikishe ndoto zetu na malengo yetu.
Habari njema ni kwamba nimekuja na taarifa kua kama unapata shida ni kiasi gani kinatakiwa kwenye site yako kuhusu Madirisha ya Aluminium, milango ya aluminium, na Balustrades. Karibu nikupe Quotation bila gharama yoyote ili ujue unajipanga namna gani.
Tuma tu vipimo upewe tathmini.
Tunatengeneza Madirisha ya Aluminium kwa gharama nafuu sana. Pia tuna ofa za Madirisha ya chooni, usafiri mpaka site ni juu yetu, pia tuna generator kwa zile site ambazo nishati ya umeme bado aijafika. Karibu sana.
0743664260