Precious Diamond
JF-Expert Member
- Jun 9, 2023
- 593
- 1,376
Wakuu,
Inakribia wiki sasa Mbezi Beach hakuna maji, majibu ni yale yale tumepokea tunashughulikia/tunafanyia kazi, mara mafundi wanatoa upepo, lakini hakuna maji.
Halafu bili ikija laki😂😂. Mwaka huu kama ni mgao mnatumoa, yaani unapigwa kila upande, maji hupati na bili inakuja ya maana!
Wizara ya Maji tumechoka kwakweli! Kama ni kutubaragaza kwenye maji safari hii mmetuweza. Jua linakubamiza unarudi hata mwili upoe maji hakuna. Kwakweli Aweso Wizara ya Maji umekua zaidi ya kichomi umebaki kuleta maumivu tu kwa watu!