Mbezi Beach hakuna maji karibu wiki sasa huu ni zaidi ya mgao, mnatukomoa!

Precious Diamond

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2023
Posts
593
Reaction score
1,376
Wakuu,

Inakribia wiki sasa Mbezi Beach hakuna maji, majibu ni yale yale tumepokea tunashughulikia/tunafanyia kazi, mara mafundi wanatoa upepo, lakini hakuna maji.

Halafu bili ikija lakiπŸ˜‚πŸ˜‚. Mwaka huu kama ni mgao mnatumoa, yaani unapigwa kila upande, maji hupati na bili inakuja ya maana!

Wizara ya Maji tumechoka kwakweli! Kama ni kutubaragaza kwenye maji safari hii mmetuweza. Jua linakubamiza unarudi hata mwili upoe maji hakuna. Kwakweli Aweso Wizara ya Maji umekua zaidi ya kichomi umebaki kuleta maumivu tu kwa watu!

 
Huko Mbezi beach si ndio kuna nyumba ambazo kodi yake ni 5m kwa mwezi???

Halafu kuna changamoto ya maji kubwa kiasi hicho? Kweli wabongo mnajua sana kuibiana.
🀣🀣🀣🀣 nikiwa kwenye hiyo ya mirioni tano labda ndio ntaacha kulalamika na majiπŸ˜…πŸ˜… niwe na likisima la kuhifadhi maji ya miaka 5🀣🀣🀣
 
Waziri mswahili, Saa100 mswahili,
 
Wiki unalalamika!? Nipo mbez maguful(mpiji magohe) tangu mwez wa 1 hd leo haoijatoka hata tone
 
Mitano tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…