Precious Diamond
JF-Expert Member
- Jun 9, 2023
- 593
- 1,376
Wakuu kwema?
Leo ni siku ya tatu Mbezi Beach kwa Zena mtaa wa Mbezi Beach B hatuna maji.
Hakuna taarifa yoyote tuliyopewa juu ya mgao huu, mnafikiri tuko kwenye mazingira gani DAWASA?
Ni kama mmetuamulia wakazi wa huku, haipiti muda lazima tupate changamoto ya kutokuwa na maji kwa siku kadhaa. Mnakwaza jamani, mpaka watu wamenichoka hapa jukwaani kuleta malalamiko ya kutokuwa na maji.
Pia soma: Hatimaye maji yameanza kutoka Mbezi Beach kwa Zena, JF mbarikiwe