Precious Diamond
JF-Expert Member
- Jun 9, 2023
- 593
- 1,376
๐๐๐ Mkuu usinichekeshe wakati niko kwenye majanga.... unapiga simu ya meneja wa Kawe haipatikani, sasa namba inawekwa ya nini hapo kama wateja tukihitaji huduma simu haipatikani hadi upige ile namba general?Kifo cha maji ni kifo tu mkuu.
Pole mkuu kila kifo ni kifo tu tulishaambiwa๐๐๐๐๐๐ Mkuu usinichekeshe wakati niko kwenye majanga.... unapiga simu ya meneja wa Kawe haipatikani, sasa namba inawekwa ya nini hapo kama wateja tukihitaji huduma simu haipatikani hadi upige ile namba general?
Wanapokea hawaelezi chanzo, unaambiwa tu maji yanasambazwa, mpaka leo siku ya nne hola.
DAWASA Kawe ni mbuzi kabisa
Kukiwa na uwajibikaji hata kidogo tu nchini mambo mengi yatabadilika.
Duh, poleni sana wakuu, hopefuly na hii itapaziwa sauti wawajibikeBora ninyi hamjapata maji siku tatu tu sisi Huku mpigi,msakuzi na makabe hatuna huduma ya maji Toka tupate uhuru na ni km5 tu kutoka stendi kuu ya magufuli
๐๐๐คฃ๐คฃ๐คฃ acha bwana Mkuu, wasije kusoma ujumbe wako tutakosa maji, ntaenda kugalagala DAWASA Kawe mpaka warudishe maji๐น๐นPole mkuu kila kifo ni kifo tu tulishaambiwa๐๐๐
Ilishapaziwa sana sauti Hadi wakaleta mabomba ili wachimbie lakini yaliishia kutekekezwa toka mwaka Jana mwezi wa nane Hadi Sasa hakuna dalili yeyote.watu wanatumia maji ya kisima ya watu binafsi Kwa bei kubwaDuh, poleni sana wakuu, hopefuly na hii itapaziwa sauti wawajibike
Haoo jamaa wa pikpkk vibaka sana waulizen kama awajangoa mabombaWakuu kwema?
Leo ni siku ya tatu Mbezi Beach kwa Zena mtaa wa Mbezi Beach B hatuna maji.
Hakuna taarifa yoyote tuliyopewa juu ya mgao huu, mnafikiri tuko kwenye mazingira gani DAWASA?
Ni kama mmetuamulia wakazi wa huku, haipiti muda lazima tupate changamoto ya kutokuwa na maji kwa siku kadhaa. Mnakwaza jamani, mpaka watu wamenichoka hapa jukwaani kuleta malalamiko ya kutokuwa na maji.
Taarifa ilitolewa awali kuhusu upungufu, unaweza tumia namba hii bila malipo 0800110064 au whatsapp 0735 202121Wakuu kwema?
Leo ni siku ya tatu Mbezi Beach kwa Zena mtaa wa Mbezi Beach B hatuna maji.
Hakuna taarifa yoyote tuliyopewa juu ya mgao huu, mnafikiri tuko kwenye mazingira gani DAWASA?
Ni kama mmetuamulia wakazi wa huku, haipiti muda lazima tupate changamoto ya kutokuwa na maji kwa siku kadhaa. Mnakwaza jamani, mpaka watu wamenichoka hapa jukwaani kuleta malalamiko ya kutokuwa na maji.
Pia soma: Hatimaye maji yameanza kutoka Mbezi Beach kwa Zena, JF mbarikiwe
Asante sanaTaarifa ilitolewa awali kuhusu upungufu, unaweza tumia namba hii bila malipo 0800110064 au whatsapp 0735 202121