Nimeshangaa sana hii barabara kukosa tena kwenye bajeti ya mwaka ujao. Sasa lami itakuwa ikiyatoa mabasi stand yakapita mbezi high school kidogo lami inaishia hapo.
Kwa kweli ni maajabu sana. Hivi kwa ubusy wa ile barabara kweli unaweza kuiacha kwa miaka kumi yote??!
Kwa kweli nimeshangaa na ninashangaa zaidi. Tulidhani mbunge tumepata kumbe tumepatikana. 😂😂😂