Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu umeniacha sina mbavu. You made my w/end either. Watu mnaangalia sana eh?Hapana, huyu ameshakuwa zilipendwa; angalia hata style:
Hapana, huyu ameshakuwa zilipendwa; angalia hata style:
![]()
Hapana, huyu ameshakuwa zilipendwa; angalia hata style:
![]()
Kweli ujana ni maji ya moto!Huyu mama enzi zake inaelekea alikuwa bomba mbaya manake nikacheki baadhi ya nyimbo zake kama boyaye she was looking so beautiful and sexy!
mwaka 1986 aliweka onyesho pale Uwanja wa Taifa (wa zamani) wakati bado akishirikiana Tabu Ley. Huyu mama alikuwa mrembo kweli kweli, ila ukweli ni kuwa muda hautusubiri sote. Akiwa mrembo alichanganya wanaume kweli kweli katika kipindi cha kunzia 1984 hadi 1991.