nguruka wa kig0ma
JF-Expert Member
- Jan 16, 2020
- 2,946
- 2,932
Hawa walishaambiwa daima mbele nyuma wauache mwikoChomoa mwiko nyuma uko
Kwa pira lile mwaka huu,simba chini ya mkia mtachomoa nini?Hawa walishaambiwa daima mbele nyuma wauache mwiko
Gari halijawaka bado, Ila refa kaliboost kidogo tu. Ugonjwa bado upo palepale. Timu inastruggle sanaMwakalebela alitaka kujitoa ligi kuu
Nabi alipewa mechi 2
kujisahau ndo ugonjwa wa yanga.gari limewaka
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hawa walishaambiwa daima mbele nyuma wauache mwiko
mechi ya ngapi?Gari halijawaka bado, Ila refa kaliboost kidogo tu. Ugonjwa bado upo palepale. Timu inastruggle sana
Tutakachofanya siku hiyo ni kuudidimiza kabisa ule mwiko.huko.nyuma kwenu na ndiyo utakuwa mwisho wa hizi tambo zenu za kishambaGoli LA jasho na damu.
Simba kwa mpira huo,tarehe mliyopangiwa na yanga mtazamie mbao4
Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app