Habari zenu waheshimiwa wote,naomba muongozo wenu katika hili katika kusikiasikia kwangu nimesikia kuwa kuna mbingu 7 (7 layer na 7 Heaven)na nikasikia kuwa km 640 kutoka usawa wa ardhi ndio kuna layer ya kwanza inayoitwa Troposfia(sina uhakika na speeling za neno hili)ndiko Muumba alikoweka hewa zote tunazozihitaji sisi viumbe na kuzuia dunia isigande,sasa nilikuwa nataka kujua hizi layer 6 zilizobakia ni km ngapi kutoka usawa wa ardhi na ni nini kazi zake na majina yake?na je?hizi mbingu 7 nazo zinaanzia km ngapi kutoka usawa wa ardhi na ni nini kazi zake na majina yake.
Nitashukuru