Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 9,830
- 20,686
Sasa aya yaako ya mwisho mbona inakubali unachokataa hapo juu??[emoji23][emoji23][emoji23]Kama Mbinguni kuna maisha mazuri, Kwa nini uombe kuishi maisha marefu Duniani?
Je hutaki kufa uende huko Mbinguni kwenye maisha mazuri?
Kama Hazina zetu zipo mbinguni, Kulikuwa na haja gani ya kuumbwa ulimwengu?
Mbingu ni dhana ya kufikirika Haipo, Na hata uwezekano wa kuwepo kwake, Haupo.
You can not wish for a house of gold in Heaven while you have never touched gold right here on Earth.
If you fail to live on Earth, The fantasy of heaven is an illusion.
Kipi ambacho huja elewa hapo?Sasa aya yaako ya mwisho mbona inakubali unachokataa hapo juu??[emoji23][emoji23][emoji23]
Wataelewa tu.Kama Mbinguni kuna maisha mazuri, Kwa nini uombe kuishi maisha marefu Duniani?
Je hutaki kufa uende huko Mbinguni kwenye maisha mazuri?
Kama Hazina zetu zipo mbinguni, Kulikuwa na haja gani ya kuumbwa ulimwengu?
Mbingu ni dhana ya kufikirika Haipo, Na hata uwezekano wa kuwepo kwake, Haupo.
You can not wish for a house of gold in Heaven while you have never touched gold right here on Earth.
If you fail to live on Earth, The fantasy of heaven is an illusion.
😀Ehe nani anabisha?Kama Mbinguni kuna maisha mazuri, Kwa nini uombe kuishi maisha marefu Duniani?
Je hutaki kufa uende huko Mbinguni kwenye maisha mazuri?
Kama Hazina zetu zipo mbinguni, Kulikuwa na haja gani ya kuumbwa ulimwengu?
Mbingu ni dhana ya kufikirika Haipo, Na hata uwezekano wa kuwepo kwake, Haupo.
You can not wish for a house of gold in Heaven while you have never touched gold right here on Earth.
If you fail to live on Earth, The fantasy of heaven is an illusion.
Yuval noah harari ni chawa na ni mtu hopeless,,hajafanana na wazungu wenzie,,ukimuangalia maisha yake ya mlala heri unaweza ukadhani kakulia huku kwetu Nachingwea..Sasa ili akae karibu na waliberali ambao ni wapumbaf ni lazima ajikombe kwa kujifanya ni openminded person. NAONGEZEA....Nimemalizia kusoma kitabu cha huyu noha halali kinaitwa 21 lesson of 21st century mwisho kwenye kushukuru nimeona akimshukuru mume wake ndio nikajiuliza ''kumbe huyu jamaa anapakuliwa'' nikashangaa sana..Kwa sababu mimi huwa nikimuangalia siku zote namuona ana tatizo na sikuwahi kujua ana tatizo kubwa nanma hio,,,kumbe yeye ni biskuti na watu wanamuona role model wao...Very bad..Huyu ant noha hana hadhi ya kuongea chochote hana hadhi yoyote amekwisha,,kazi yake ni kumpikia mume wake,,kufua mashuka alioyanyea na kunyonya mbo o.Hana akili hata kidogo..
Wafiadini wakija watasema ni dhambi kuwaza mambo hayo uliyoyaainisha hapoKama Mbinguni kuna maisha mazuri, Kwa nini uombe kuishi maisha marefu Duniani?
Je hutaki kufa uende huko Mbinguni kwenye maisha mazuri?
Kama Hazina zetu zipo mbinguni, Kulikuwa na haja gani ya kuumbwa ulimwengu?
Mbingu ni dhana ya kufikirika Haipo, Na hata uwezekano wa kuwepo kwake, Haupo.
You can not wish for a house of gold in Heaven while you have never touched gold right here on Earth.
If you fail to live on Earth, The fantasy of heaven is an illusion.
Unauhakika na kuwepo kwa maji kwenye spaceKwa nini nasema mbingu ipo?? Nitaanza na biblia MWANZO 1 :6 -8"""MUNGU AKASEMA NA LIWE ANGA KATIKATI YA MAJI, LIKAYATENGE MAJI NA MAJI. 7.MUNGU AKALIFANYA ANGA, AKAYATENGA YALE MAJI YALIO JUU YA ANGA NA YALE MAJI YALIO CHINI YA ANGA; IKAWA HIVYO.8.MUNGU AKALIITA LILE ANGA MBINGU.IKAWA JIONI IKAWA ASUBUHI,SIKU YA PILI.
SASA TUKIRUDI KWENYE SAYANSI YAKO PENDWA NI KWAMBA KWA KUTUMIA JAMES WEBB TELESCOPE HAO WATAFITI WAMEGUNDUA KWENYE OUTER SPACE KUNA MAJI MENGI KUPITA MAJI YA MITO YOTE MAZIWA MABWAWA CHEMCHEM NA BAHARI ZOTE KWA PAMOJA YAANI ATLANTIKI,,PACIFIKI,,HINDI,,BLACK SEA,,RED SEA NA DEAD SEA YAANI VOLUME YA HAYO MAJI HUWEZI KUISEMA KWENYE CUBIC METERS.. KWA HIO KAMA KUNA MAJI JUU YA ANGA TENA YALIO MENGI NI PROOF TOSHA KWAMBA KILICHOANDIKWA KWENYE BIBLE NI UKWELI NA PIA MBINGU SIO KITU CHA KUSADIKIKA NI RAEL PLACE.View attachment 2704953