Mbingu haipo, watu husema mbinguni kuna maisha mazuri lakini huomba waishi maisha marefu duniani

Hii ni habari ya leo nimeitoa yahoo. Pia endelea kusoma ambavyo wamekwisha kugundua kwenye outer space uone sayari mpya walizozigundua kubwa mara tatu ya dunia na zenye maji tuu.
 

Attachments

Hii ni habari ya leo nimeitoa yahoo. Pia endelea kusoma ambavyo wamekwisha kugundua kwenye outer space uone sayari mpya walizozigundua kubwa mara tatu ya dunia na zenye maji tuu.
Wanasayansi wanalipwa Hela nyingi sana ili ku brainwash watu.

Swala la wao kugundua vitu outer space wakati vitu vilivyopo baharini hawaja explore Kwa asilimia kubwa
 
Mimi naamini waliokuzaa wewe na walio kulea wewe, walikufundisha kuhusu mbingu, kama ni kweli basi waamini tu ...maana uLivyokuwa mdogo mtoto mdogo uliwaamini sana ...japo ulikuwa hujielewi na huwezi kujielezea lakini leo hii wasema THANKS kwa MLIO NILEA NITUNZA katika Maisha yangu YA DUNIANI

So huenda na leo ukawa bado ni mtoto katika mambo ya Kiroho lakini amini tu kwamba Mbinguni kule kuna baba yako Muumba.......Ukija kukua Kiroho na kujitambua huenda ukaja kusema THANK YOU MY FATHER IN HEAVEN,

Your FLESH is grown up now
Your SPIRIT is still like a new born baby (feed your spirit with the word of God, and this is the only food for Spiritual Growth)
 
Mambo ya kiroho ni illusions.

Hazipo.
 
Stori za kufikirika izi, eti walimuona kwa naked eyes
 
Ukiona kitu kinahesabiwa kwa mda jua kina mwisho ata kama kina mda mrefu ila jua mwisho upo.
 
Acha uongo wew una uhakika gan haya unayosimulia kama ni kweli au stori za watu?

Weka ushahidi wa haya uliyoandika maana kiuhalisia biblia iliandikwa na watu ambao waliamua tu kutunga uongo na uongo mwingine kucopy ktk vitabu vya stories za jamii za zamani.

Uongo mwingi mnauleta hauna facts
 
Huoni hata hicho ulichonacho ni kufikirika.
 
sina hakika na mbinguni lakini maisha baada ya kifo yapo na ni mazuri lakini uzuri wake inategemea jinsi unavyoishi huku duniani kama wewe ni katili muuaji maisha yako baada ya kifo yatakuwa mabaya tunakuombea uishi maisha marefu kwasababu tunakuhitaji
 
Mkuu Champion una uhakika gani kwamba nilichokiandika ni uongo?

Una uhakika gani kwamba biblia imetungwa na watu waliokuwa na nia ya kueneza uongo???

Una uhakika gani kwamba unachokiamini wewe au unachokiona ndio sahihi kwamba ndio ukweli wote????
 
Mbingu ipo ndugu! Tena ni halisia mambo ya rohoni usiyatafakari kwa namna ya hisia utafeli
Nakwambia hivi mbingu Haipo na hata uwezekano wa kuwepo kwake Haupo.

Mambo ya rohoni ni imaginations just an illusion.
 
Hizi dini ni kaujinga fulani tunaaminishwa basi tu wakoloni walikua na roho zao nzuri wangesema ukitaka kuuona ufalme wa Mungu lazima utobolewe rinda sjui ingekuaje pale kwa mwamposa waumini wote wale wangetinduliwa ni mwendo wa kunuka mavi tu. Walituhurumia sana wakaamua watudanganye kidogo na sisi tukaingia kichwa kichwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…