Mbingu haipo, watu husema mbinguni kuna maisha mazuri lakini huomba waishi maisha marefu duniani

Wachawi wapo lakini hujawahi kuwaona wakiroga,leo umeshiba kande unakuja hapa kuropoka Eti mbingu haipo,
 
Kwa hyo unadhani umeletwa duniani kuja kuzurura tu, kufanya uzinzi na machafu. Duniani tumeletwa Kwa dhumuni maalum na mwisho wa siku kuna malipokwa yale uliyoyatenda.
 
ukiangalia UGUMU wa maisha ya kila kiumbe hapa DUNIANI., utaamini kuwa kama kweli maisha yaliumbwa, basi hayakuwa well planned...
Upo sahihi 100% mkuu.

Kuna "blunder" kubwa kwenye "original design" ya maisha.

Wengi huwa wanafumbia macho hili suala kutokana na uoga uliopenyezwa kwenye imani zetu.

Ila kama wewe ni "clear thinker" na "free thinker" lazima utaliona hili.

Kongole mkuu.
 
Mtu akifa leo haendi mbinguni leo hii, bali analala mavumbini akisubiri marejeo ya Yesu. Yesu atakapokuja atawafufua waaminifu waliolala katika kristo kwa ajili ya ufalme wa mbinguni.

Sent from my SM-A145F using JamiiForums mobile app
 
Kwa hyo unadhani umeletwa duniani kuja kuzurura tu, kufanya uzinzi na machafu. Duniani tumeletwa Kwa dhumuni maalum na mwisho wa siku kuna malipokwa yale uliyoyatenda.
Nani aliye tuleta?

Ni nani huyo?
 
Mtu akifa leo haendi mbinguni leo hii, bali analala mavumbini akisubiri marejeo ya Yesu. Yesu atakapokuja atawafufua waaminifu waliolala katika kristo kwa ajili ya ufalme wa mbinguni.

Sent from my SM-A145F using JamiiForums mobile app
Yesu hayupo.

Mbingu haipo.

Vyote hivyo ni dhana za kufikirika zisizo kuwepo na hata uwezekano wa kuwepo haupo.
 
Mungu ni dhana ya kufikirika isiyo kuwepo.
 
shindwa pepo nakemea roho zote ovu zikutoke😂😹🤣
 
huwezi tesa swala au vyura eti kwasababu binadamu walikula tunda ulilowakataza....it doesn't make sense?....
 
Mbinguni hakuishi miili bali roho.. Kama unaweza kuiona roho basi utaiona mbingu.. Kama huwezi kuiona roho basi sahau kuiona mbingu! Limitations ziko hapo
 
Hivi unadhani ulikuja duniani Kwa ujanja wako tu, kama ni Kwa ujanja wako basi ina maana hata kifo unaweza ukakizuia ili usife.

Kwa nn watu wanazaliwa na wanakufa, kwa nn insingekuwa watu wanaishi milele? Ina maana kifo ni njia ya kurudi Kwa aliyekuumba. Kama humjui aliyekuleta duniani utakuja kumjua siku ambayo utafariki, na utajua ulikuwa mtu wa aina gani, aidha mtenda mema au maovu.
Nani aliye tuleta?

Ni nani huyo?
 
Upo sahihi kabisa.

Hata dhana ya "adhabu ya milele" kwa makosa/dhambi alizofanya mtu wakati wa uhai wake wa muda mfupi hapa duniani ina ukakasi.

What kind of justice is that?
hata binadamu pamoja na UKATILI na uwendawazimu wake wote,.. bado hajafikia UKATILI kama huo,... nadhani hawa watu wanaoamini dini wana ubongo tofauti kidogo na ubongo wa binadamu wenye common sense....
 


Kutokunywa beer kwako hakumaanishi hakuna beer
 
Mbingu zipo
Ila shida ni mafunzo ya mbingu hzo yanayotolewa na waja hao
Ni kweli kabsa hakuna hajq ya kuwapo duniani ili hali mbinguni kuna kila kitu pamoja na hazina zote
Kila viumbe wameumbwa kwa mahala pake walipo na hakuna kiumbe kinaweza ishi maisha yote sehem ambapo co chimbuko lao ila wanaweza fika popote na kurudi ilipo asili yao

Kuna masomo mengi ya mbinvu yametolewa kwa kipindi kirefu na dini mbalimbali pasipo kutosha kwa elim yenyewe
Bas tufatane pamoja kwa kupitia masomo haya yaliyopo youtube yanayosomeshwa na mwamiloko/Row wominige kwa njia ya michoro kuanzia kabla ya viumbe kuwapo mpka kuwapo kwa viumbe

 
Kifo kinathibitisha vipi Mungu yupo?

Mungu muweza wa yote, Alishindwaje kuumba binadamu wasio kufa?

Huyo Mungu yupo kweli?

Na anaweza yote kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…