Mbinu 10 za kumdhibiti mke/GF jeuri.......(FOR REAL MEN ONLY)

8,9,10 GOOOOD. Zilizobaki zimekaa design ya ''mfumo dume''!

Consultant......usichojua ni kuwa zote ni mfumo dume na ndivyo mapenzi ya Mungu kuwa mwanamke atatawaliwa na mumewe.........................hiyo ni adhabu aliyopewa mama yao Eva....................na wao wakarithi laana tajwa. Hivyo, kuukataa mfumo dume ni kumkataa Mungu ambaye alisema hivi akihoji upumbavu wa mwanadamu................Isaiah 29:16 "...........for shall the thing formed say of whom formed it you have no understanding?"

na Mwenyezi Mungu tayari alikwisha kumlaani mwanamke pale aliposema na ninanukuu:-

Genesis 3:16 ".........your desire shall be for your husband, and he shall rule over you."

mkeo lazima umtawale na dalili za kufanikiwa ni kuwa stay out of domestic chores and do the real man's work.............. Consultant
 
Yummy kazinduka usingizini na kaona bora azingatie kazi za nyumbani na swahiba wake asije kutekwa nyara na wengineo wanaomkodolea macho................[MENTION]@Sashel,
[MENTION 55476]Yummy[/MENTION][/MENTION]

Kazi za nyumbani? Anafanya kazi za kulipwa hela ili apate hela ya watoto ya shule na chakula..lol
 
No.1 na No.2 hizo sheria ni za enzi za mjerumani not now better follow what you deserve from your spouse its the only way to overcome other problems,your wife is not a slave:clap2:
 

kweli wanaume wengine wamefilisika Kimawazo/kimtazamo.
Huyo mkeo mmeoana ili mkomoane? kua na hela kuliko mkeo ndio sababu ya kumfanya mtumwa.

mbona hujawasaidia wanaume ambao wana kipato kidogo kuliko wake zao? Kama wake zao ndio wanalipa bili ya maji, luku kusomesha na kadhalika, je wanaume ndio wawe wanapika, kufua nk?

Ishi maisha huru wewe, acha kujitesa. maisha ya ndoa maana yake ni kusaidiana na upendo bila kujali nani ana kipato kikubwa au nani analipa bili.

Nyie ndio mnaofanya ndoa zenu kuvunjika maana mnakaa na wake zenu bila upendo, na baada ya mda wake zenu wakipata wa kuwapa upendo wa kweli mnaishia kushika pembe.
 
Yummy kazinduka usingizini na kaona bora azingatie kazi za nyumbani na swahiba wake asije kutekwa nyara na wengineo wanaomkodolea macho............... Sashel, [MENTION=55476]Yummy

Hahahaaaa umejuaje?!saizi namkorogea uji wa muhogo mume wangu kipenzi
 
Last edited by a moderator:
 
Ruta Nakubaliana nawe kwenye 6,7,9 na 10 na sikubaliana kabisa na 1,2 5 na 6
 
nimembamba ba watto anasoma hii thread...ngoja nisubirie actions xake ntajua kadesa humu!
 
Maji ya kuoga nalo ni jukumu lake kuyainjika na kukupelekea bafuni kwa mikono yake aache sooooooooooooooooo

Vipi kama tunaishi katika nyumba ambayo ni self contained, yaani kila kitu ndani. Bafuni kuna bomba la mvua linalotoa maji ya baridi na maji ya moto.
 

cha ajabu mwanamke ndio anaambiwa afuate majukumu yake mbona nyie hamjui majukumu yenu! kuwa provider wanaume sku hizi hawajui mke na watoto wanakula wala kuvaa nini halafu unataka mkeo afanye majukumu yake, mkiombwa hela za matumizi mna nuna! halafu mnataka mwanamke ajue majukumu yake wakti wanawake wengi ndio provider siku hizi kwa familia shame on u! be a man first ndio uongee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…